Niger Yaituhumu Ufaransa na Ukraine Kupanga Mashambulizi Sahel
Waziri Mkuu wa Niger azituhumu Ufaransa na Ukraine kusaidia makundi yanayodaiwa kupanga mashambulizi dhidi ya jeshi na miundombinu ya mafuta.
Habari Ndani ya Sayari.