Pakistan na Qatar zapendekeza mpango wa kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran
Wakati ngoma ya vita ikiendelea kurindima katika Mlango-bahari wa Hormuz, diplomasia ya dharura imeanza kuchukua mkondo mpya. Pakistan na Qatar zimejitokeza na mpango wa dharura wa kuziokoa Washington na Tehran…