Masharikiyakati
-

Hillary Clinton: Kwa muda mrefu Netanyahu amekuwa na shauku iliyopitiliza ya kuiangamiza Iran
WASHINGTON D.C. — Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton, ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu…
-

Hillary Clinton: Netanyahu Anatumia Vita Kujinusuru Kisiasa
Mwanasiasa mkongwe wa Marekani, Hillary Clinton, amedai kuwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, anaamini kuwa vita vinaweza…
-

“Hatupokei wachochezi” Austria yampiga marufuku waziri wa Israel, Itamar Ben-Gvir
VIENNA, AUSTRIA – Shinikizo dhidi ya viongozi wenye msimamo mkali nchini Israel limezidi kupamba moto barani Ulaya baada…
-

“Bila mimi, Israel haitakuwepo” – rais Trump apiga mkwara mzito, akosoa mashambulizi ya Beirut
WASHINGTON, MAREKANI Rais wa Marekani, Donald Trump, amedai kuwepo kwa taifa la Israel kunategemea mchango wake binafsi, huku…
-

Lukashenko aiwashia moto Israel: “Hakuna tukio la kihistoria linalohalalisha mauaji ya watoto Gaza”
“Sasa wanazungumzia kujenga aina fulani ya maeneo ya starehe juu ya mifupa ya wafu. Huo ni upumbavu mtupu,”…
-

MSIMAMO WA TEHRAN: Iran Yasisitiza Kusitishwa kwa Vita Lebanon ni Sharti la Lazima katika Makubaliano ya Amani
TEHRAN, IRAN – Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa tamko zito kuhusu mwelekeo wa amani katika…