Trump: Ikiwa makubaliano hayatapatikana, tutarejea kwenye “Mradi wa Uhuru Plus” katika Mlango wa Hormuz
Rais wa Marekani amewaambia waandishi wa habari kwamba iwapo makubaliano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hayatafikiwa, Marekani “itachukua mkondo tofauti.” Kisha akaongeza kuwa ikiwa makubaliano hayo hayatapatikana, Marekani itarejea…