Syria na Israel zafanya mazungumzo Jordan kupunguza mvutano baada ya mashambulizi ya Israel
Syria na Israel zimefanya mazungumzo nchini Jordan kwa lengo la kupunguza mvutano kati ya nchi hizo mbili, siku chache baada ya Israel kufanya mashambulizi ya anga dhidi ya kituo cha…