Wasira aiweka sawa Jumuiya ya Madola: “Tanzania haisubiri kuamrishwa”
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema Tanzania iko tayari kupokea ushauri kutoka kwa washirika wa kimataifa, lakini haitakubali maagizo yanayoingilia masuala yake ya ndani.w Makamu Mwenyekiti wa…