Iran
-

Vita vya Iran: Wamarekani Wabeba Mzigo wa Dola Bilioni 100 kwa Mafuta
Wateja wa Marekani wamebeba takriban dola bilioni 100 za gharama za ziada za petroli na dizeli tangu vita…
-

Hormuz: Marekani Yaratibu Hatua za Pamoja Kukabiliana na Iran
Marekani imesema inaratibu hatua na washirika wa kikanda kulinda usafiri katika Mlango-Bahari wa Hormuz huku Iran ikiongeza udhibiti…
-

IAEA Yailalamikia Iran kwa Kukosa Ufikiaji wa Vituo Muhimu vya Nyuklia
IAEA imesema haijapata tena ufikiaji wa vituo muhimu vya nyuklia vya Iran tangu mashambulizi ya Juni 2025 na…
-

Netanyahu Akiri: Lengo Langu Tangu Oktoba 7 Lilikuwa Vita Dhidi ya Iran na Kubadilisha Ramani ya Mashariki ya Kati!
Netanyahu amesema tangu Oktoba 8, 2023, aliamini Israel ingebadilisha sura ya Mashariki ya Kati, akieleza mkakati wa kukabiliana…
-

‘Komesheni Vita Haramu Dhidi ya Iran’: Bernie Sanders Aonya Kuhusu Mdororo wa Kiuchumi Marekani
Seneta Bernie Sanders ameitaka Marekani kusitisha vita dhidi ya Iran, akisema mgogoro huo unachangia kuongezeka kwa gharama za…
-

Kimenuka Hormuz: Iran yalenga meli tatu za mafuta na vyombo vitatu vya jeshi la Marekani
Jeshi la wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran limetangaza mashambulizi dhidi ya meli…