IRGC: Meli Mbili za Mafuta Zaharibiwa Baada ya Kuingia Eneo Marufuku Lililotegwa Mabomu
TEHRAN – Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limesema kuwa meli mbili za kubeba mafuta zimelipuka na kushika moto baada ya kuingia katika eneo lililotegwa mabomu…