habari
-

Marekani na Iran Zatia Saini Hati ya Maelewano ya Islamabad Kusitisha Vita
TEHRAN/WASHINGTON – Katika hatua ya kihistoria ya kidiplomasia, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, na…
-

Mchambuzi: Kushindwa kwa Marekani dhidi ya Iran ni Pigo Kubwa Kuliko Vita vya Vietnam
Mchambuzi wa masuala ya kimataifa Paul Musgrave ameandika katika jarida la Foreign Policy akidai kuwa kushindwa kwa Marekani…
-

UCHAMBUZI: Jinsi ‘Kivuli cha Kisiasa’ Kinavyotumika Kuendeleza Mashambulizi Ukanda wa Gaza.
GAZA – Wakati macho ya jumuiya ya kimataifa yakielekezwa kwingine, ripoti mpya zimeibua wasiwasi mkubwa zikidai kuwa mauaji…
-

“MUNGU ASHUKURIWE!”: Papa Leo XIV Afurahia Marekani na Iran Kusitisha Vita, Ataka Mazungumzo Yaendelee
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ametoa kauli ya shukrani akisema “Mungu ashukuriwe” baada ya mataifa…
-

“SYRIA ITAWAFAGIA!”: Trump Aishauri Israel Kuiachia Syria Jukumu la Kupambana na Hezbollah
Rais wa Marekani, Donald Trump, amezua mjadala mzito katika mkutano wa kilele wa G7 nchini Ufaransa baada ya…
-

Hillary Clinton: Kwa muda mrefu Netanyahu amekuwa na shauku iliyopitiliza ya kuiangamiza Iran
WASHINGTON D.C. — Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton, ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu…