habari
-

Mapigano makali Lebanon: wanajeshi 4 wa Israel wauawa, huku Israel ikiuwa raia 18
BEIRUT, LEBANON – Hali ya usalama nchini Lebanon imeendelea kuwa tete baada ya jeshi vamizi la Israel (IOF)…
-

MAHUSIANO YAINGIA DOSARI: Jinsi Kauli ya Trump Ilivyochafua Hali ya Hewa Kati ya Italia na Marekani
ROMA, ITALIA – Hali ya kidiplomasia kati ya Marekani na Italia imeingia katika msukosuko mkubwa baada ya Rais…
-

Mazungumzo ya Kiufundi ya Marekani na Iran Yasimamishwa Ghafla Baada ya Vance Kughairi Safari ya Uswisi
Mazungumzo ya kiufundi kati ya Marekani na Iran kuhusu hati ya makubaliano (MOU) iliyosainiwa yalipangwa kufanyika nchini Uswisi…
-

Rice aiponda serikali ya Trump: “makubaliano na Iran ni waraka wa kusalimu amri”
WASHINGTON D.C, MAREKANI – Aliyekuwa Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani, Susan Rice, ametoa shutuma nzito dhidi…
-

“Tusipoibadilisha Serikali Hii, Uhusiano wa Israel na Dunia Utatoweka” – Yair Lapid
TEL AVIV, ISRAEL – Kiongozi wa upinzani nchini Israel, Yair Lapid, ametoa tamko zito kupitia ukurasa wake wa…
-

Macron aonya dhidi ya matumizi ya nguvu Iran: ” utawala hauwezi kubadilishwa kwa mabomu”
PARIS, UFARANSA Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ametoa msimamo thabiti na wa tahadhari kuhusiana na mzozo wa Iran,…