NBC: Mashambulizi ya Iran yasababisha uharibifu mkubwa kwa vituo vya kijasusi vya Marekani Mashariki ya Kati
Mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani (drones) kutoka Iran yamesababisha uharibifu mkubwa usio wa kawaida kwa vituo vya kijasusi vya Marekani na vifaa vya ufuatiliaji katika maeneo mbalimbali…