NYT: China yaendelea kununua mafuta ya Iran licha ya shinikizo la Marekani
BEIJING/WASHINGTON — Kampuni za kusafisha mafuta nchini China zinaendelea kupokea takriban mapipa milioni 1.2 ya mafuta ghafi ya Iran kwa siku, kiwango ambacho hakijabadilika sana ikilinganishwa na mwaka uliopita, kwa…