Trump aishambulia Canada: ‘’msiporekebika mtakiona cha mtema kuni”
Rais Donald Trump amemshambulia Waziri Mkuu wa Ontario, Doug Ford, na Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney, akidai kuwa Canada imekuwa ikinufaika na Marekani kwa miongo kadhaa na sasa haitaruhusiwa…