Lapid ainyoshea kidole serikali ya Netanyahu: “operesheni dhidi ya Iran ni kupoteza muda”
TEL AVIV, ISRAEL – Kiongozi wa upinzani nchini Israel, Yair Lapid, ameibua mjadala mzito baada ya kutoa shutuma kali dhidi ya serikali ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, akidai kuwa imeshindwa…