Trump ageuka tena: asitisha mashambulizi dhidi ya Iran kwa madai ya kufikia makubaliano ya juu
Katika hali ya kushangaza na inayoashiria kubadilika kwa upepo wa kisiasa, Rais wa Marekani ametangaza kusitisha mpango wa mashambulizi ya kijeshi uliokuwa umepangwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran…