utaridi
-

Jeshi la Iran Laamuru kufungwa Mlango bahari wa hormuz kwa meli zote baada ya mashambulizi mapya ya Marekani
Kamandi Kuu ya Jeshi la Iran imeamuru kufungwa Mlango-Bahari wa Kistratejia wa Hormuz muda mfupi baada ya kuanza…
-

Saudi Arabia na Yemen Zasaini Makubaliano ya Dola Milioni 150 Kuimarisha Sekta ya Umeme
Saudi Arabia na Yemen Zasaini Makubaliano ya Dola Milioni 150 Kuimarisha Sekta ya Umeme Saudi Arabia na Yemen…
-

Iran Yajibu Mapigo kwa Kushambulia Kikosi cha Tano cha Wanamaji cha Marekani Bahrain kwa Droni
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limetoa taarifa likisema kuwa mapema alfajiri ya leo…
-

SpaceX ya Elon Musk Kupima Vituo vya Data vya AI Angani Ifikapo 2027
Kampuni ya SpaceX inapanga kuanza misheni za majaribio kwa miundombinu yake ya kompyuta ya akili bandia (AI) iliyo…
-

China na Georgia Zainua Uhusiano hadi Ushirikiano wa Kimkakati wa Kina
Marais wa China na Georgia wametangaza rasmi kuinua kiwango cha uhusiano wa nchi zao hadi ushirikiano wa kimkakati…
-

Uturuki na Saudi Arabia Zasaini Makubaliano ya Ushirikiano wa Reli ya Hejaz
Riyadh — Uturuki na Saudi Arabia zimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano wa reli mjini Riyadh, hatua inayolenga…