Blinken: Chaguo la kijeshi dhidi ya Iran halikuwa suluhisho boraw
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, amesema kuwa kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Iran ni chagua la makosa, licha ya mjadala uliokuwepo kuhusu hatua…
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, amesema kuwa kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Iran ni chagua la makosa, licha ya mjadala uliokuwepo kuhusu hatua…
Rais wa Urusi Vladimir Putin anatarajiwa kufanya ziara nchini China wiki ijayo. Hayo yameripotiwa Ijumaa na gazeti la South China Morning Post likinukuu vyanzo vinavyofahamu maandalizi ya safari hiyo. Kwa…
Rapa maarufu wa Kanada, Drake, anaonekana kumkosoa rapa na mtayarishaji mwenye asili ya Kipalestina, DJ Khaled, kwa kukosa kuonyesha wazi uungwaji mkono wake kwa Palestina. Ukosoaji huo unaonekana katika wimbo…
Mgombea wa urais wa Ufaransa Jean‑Luc Mélenchon amesema kuwa migogoro ya sasa ya kimataifa inaweza kuashiria mwisho wa kile alichokiita “karne ya Marekani”. wAkizungumzia nafasi ya Marekani katika mfumo wa…
Rais wa Marekani, Donald Trump, amerejea kutoka ziara yake nchini China huku akikabiliwa na maamuzi muhimu kuhusu hali ya mvutano na Iran. Kwa mujibu wa gazeti la The New York…
Trump asema kuchukua nyenzo za nyuklia za Iran si jambo la lazima 🔹Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa kuchukua nyenzo za nyuklia za Iran si lazima. Kauli hiyo aliitoa…
Rais wa Kenya, William Ruto, ametoa wito kwa Afrika kupewa uanachama wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, takwa ambalo limeungwa mkono na Katibu Mkuu wa Umoja…
https://youtube.com/shorts/cQJW-kmracM?feature=share
BEIJING: Katika kile kinachoonekana kama hatua kali za kiusalama, wajumbe wa Marekani wameripotiwa kutupa zawadi zote walizopewa na wenyeji wao nchini China kabla ya kupanda ndege ya Rais, Air Force…
Ushirikiano kati ya Iran na China umeendelea kuimarika huku mataifa hayo mawili yakikabili mazingira ya migogoro katika eneo na changamoto za kimataifa. Wachambuzi wanaueleza mwenendo huu kama chanya na unaotarajiwa…