Timu ya Taifa ya Iran Kupokelewa Tijuana Baada ya Marekani Kudinda
Rais wa Meksiko, Claudia Sheinbaum, ametangaza rasmi kuwa nchi yake itaikaribisha timu ya taifa ya soka ya Iran katika mji wa Tijuana kwa ajili ya maandalizi ya Kombe la Dunia.…
Rais wa Meksiko, Claudia Sheinbaum, ametangaza rasmi kuwa nchi yake itaikaribisha timu ya taifa ya soka ya Iran katika mji wa Tijuana kwa ajili ya maandalizi ya Kombe la Dunia.…
WAZIRI wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen ametangaza Jumatano kama sikukuu ya kitaifa.Kupitia notisi ya gazeti iliyochapishwa Jumatatu Mei 25, waziri huyo alitangaza kuwa siku hiyo ni ya Idd-ul-Adha ama…
🔹 Kulingana na mchambuzi mkuu wa usalama wa Israel, ripoti zilizovuja kuhusu mazungumzo ya simu yenye mvutano kati ya Trump na Netanyahu kuhusiana na Iran hazikuwa za kweli, bali zilikuwa…
BEIJING, CHINA – Juhudi za kidiplomasia za kuleta utulivu kati ya mataifa hasimu ya Iran na Marekani zimechukua mwelekeo mpya, huku kukiwa na ishara za wazi kuwa nchi hizo mbili…
Iran imeanza upya ujenzi wa uzalishaji wa makombora yake ya masafa marefu wakati wa usitishaji vita, kwa kasi kubwa zaidi kuliko ilivyotabiriwa na mashirika ya ujasusi ya Israel na Marekani.…
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe Dkt. Benson Bagonza amesema Kanisa hilo halijawahi kukaa kikao chochote cha kupanga Rais ajae wala hakuna Dhehebu lenye…
Mfumuko wa bei ya mafuta nchini Marekani umeingia katika hatua mpya, huku ukizidi kutishia uchumi wa wananchi wake. Kampuni kubwa ya rejareja nchini humo, Walmart, imetoa onyo ikieleza kuwa kupanda…
DOHA, QATAR- Katika hatua muhimu ya kidiplomasia, ujumbe rasmi kutoka nchini Iran, ukiongozwa na Mohammad Bagher Ghalibaf, umewasili jijini Doha, Qatar hivi leo, kwa mujibu wa ripoti kutoka shirika la…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Seyed Abbas Araghchi, amewasilisha ujumbe maalum kwa Katibu Mkuu wa Hezbollah, Sheikh Naim Qassem, akisisitiza msimamo thabiti wa Tehran…
TAKRIBAN watu 90 walifariki kufuatia mlipuko katika mgodi wa makaa ya mawe kaskazini mwa China, kulingana na vyombo vya habari vya serikali ya nchi hiyo. Mlipuko huo wa gesi ulitokea…