Jeshi la Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Limezindua Hadharani Boti Mpya ya Mashambulizi ya Kasi Yenye Kubeba Makombora.
Tehran — Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limeonesha hadharani boti mpya ya mashambulizi ya kasi yenye silaha za makombora, inayojulikana kwa jina la “27 Rajab.”…