Netanyahu: Israel Huenda Ikakabiliana na Iran Bila Msaada wa Marekani
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema huenda nchi yake ikalazimika kukabiliana na Iran bila msaada wa Marekani iwapo hali italazimu, hata kama hatua hiyo itasababisha vikwazo vya silaha na…