Lukashenko aiwashia moto Israel: “Hakuna tukio la kihistoria linalohalalisha mauaji ya watoto Gaza”
“Sasa wanazungumzia kujenga aina fulani ya maeneo ya starehe juu ya mifupa ya wafu. Huo ni upumbavu mtupu,” alisema Rais Lukashenko.
“Sasa wanazungumzia kujenga aina fulani ya maeneo ya starehe juu ya mifupa ya wafu. Huo ni upumbavu mtupu,” alisema Rais Lukashenko.
CALIFORNIA, MAREKANI Jeshi la Anga la Marekani limepata pigo kubwa baada ya moja ya ndege zake muhimu na zenye nguvu zaidi, aina ya B-52 Stratofortress, kuanguka muda mfupi baada ya…
TEHRAN, IRAN – Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa tamko zito kuhusu mwelekeo wa amani katika ukanda wa Mashariki ya Kati, ikisisitiza kuwa kukomeshwa kwa vita nchini Lebanon…
WASHINGTON, MAREKANI Aliyekuwa Rais wa Marekani, Barack Obama, ametoa kauli nzito akikosoa vikali sera za Donald Trump, kuhusiana na mzozo kati ya Marekani na Iran. Katika kile kinachoonekana kama tathmini…
Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Italia zimetangaza kuwa ziko tayari kuondoa baadhi ya vikwazo vinavyohusiana na Iran iwapo Tehran itachukua hatua zilizo wazi na zinazoweza kuthibitishwa kuhusu mpango wake wa nyuklia.…
Rasimu ya makubaliano yenye vipengele 14 kati ya Iran na Marekani, inayoripotiwa kuandaliwa, inapendekeza yafuatayo: – Kusitishwa mara moja na kwa kudumu kwa mapigano katika maeneo yote ya migogoro, ikiwemo…
ISLAMABAD, PAKISTAN – Katika hatua ya kihistoria inayotarajiwa kubadili mwelekeo wa siasa za kijiografia duniani, Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif, ametangaza kufikiwa kwa makubaliano ya amani kati ya Marekani…
LONDON, Uingereza – Kwa mara ya kwanza, serikali ya Uingereza imefanya operesheni ya kuizuia meli ya mafuta inayohusishwa na kile kinachoitwa “msafara wa kivuli” (shadow fleet) wa Urusi, tukio ambalo…
PARIS – Kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Dassault Aviation imetangaza nia yake ya kudai fidia kutoka kwa Airbus, kufuatia hatua ya Ufaransa kusitisha mpango wa ununuzi wa ndege zisizo…
WASHINGTON — Ripoti mpya iliyotolewa na Ofisi ya Uwajibikaji ya Serikali (GAO) imefichua kushuka kwa kiasi kikubwa kwa viwango vya utayari wa ndege za kivita za F-35 Lightning II kufikia…