“SISI NI TAIFA KUBWA DUNIANI”: Iran atamba kushinda mataifa yenye nguvu za Nyuklia
TEHRAN, Iran – Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei, ametoa tamko zito akisisitiza kuwa hadhi ya Iran kama taifa lenye nguvu kubwa duniani (superpower) si…