MAZUNGUMZO YA USWISI: Vikwazo vya Mafuta na Petrokemikali Vyafutwa, Vita Lebanon KusitishwaTehran
TEHRAN, IRAN Waziri wa Mambo ya Nje ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu matokeo ya mazungumzo ya kidiplomasia yaliyofanyika jana, akibainisha mafanikio makubwa yaliyopatikana kutokana na usuluhishi wa mataifa ya Pakistan…