Yacht ya Kifalme ya Putin Yakimbilia Kaskazini kwa Hifadhi
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ameamua kuhamisha jeti yake ya kifahari ya Graceful yenye thamani ya dola milioni 133 kutoka maji ya Ulaya kuelekea bandari ya Murmansk iliyoko Kaskazini mwa…
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ameamua kuhamisha jeti yake ya kifahari ya Graceful yenye thamani ya dola milioni 133 kutoka maji ya Ulaya kuelekea bandari ya Murmansk iliyoko Kaskazini mwa…
MOSCOW, URUSI – Ripoti mpya ya kiintelijensia imefichua kuwa Urusi imetekeleza operesheni ya siri ya miezi 15, ikitumia meli za mafuta zilizowekewa vikwazo, maarufu kama ‘Shadow Fleet’, kurusha ndege zisizo…
Vita vinavyoendelea katika eneo la Donbass vimeingia katika hatua nyeti na ya maamuzi. Taarifa kutoka uwanja wa vita zinaonyesha kuwa vikosi vya Urusi vimefanikiwa kusonga mbele na sasa viko umbali…
LONDON, Uingereza – Kwa mara ya kwanza, serikali ya Uingereza imefanya operesheni ya kuizuia meli ya mafuta inayohusishwa na kile kinachoitwa “msafara wa kivuli” (shadow fleet) wa Urusi, tukio ambalo…
ST. PETERSBURG, URUSIKatika kile kinachoonekana kuwa ni mfululizo wa mashambulizi ya kushtukiza, jeshi la Ukraine alfajiri ya leo limefanya shambulio kubwa dhidi ya kambi ya kijeshi na maeneo mengine muhimu…
MOSCOW, RUSSIA – Iran na Russia zimepiga hatua kubwa katika kuimarisha uhusiano wao wa kiuchumi na kiufundi, huku zikiongeza kasi ya utekelezaji wa miradi mikubwa ya nishati ya nyuklia na…
MOSCOW/KYIV — Jitihada za kidiplomasia za kusaka amani katika mzozo unaoendelea kati ya Urusi na Ukraine zimepata pigo kubwa baada ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kususia ombi la kufanya…
Akijibu uamuzi huo wa Urusi, Rais Zelenskyy amesema kuwa kwa kukataa wito wa mazungumzo, Urusi imeonesha wazi msimamo wake wa kuendeleza mapigano. “Kwa mara nyingine tena, Urusi imechagua vita badala…
MOSCOW, URUSI – Serikali ya Urusi na utawala wa Taliban nchini Afghanistan zimeingia katika ukurasa mpya wa mahusiano baada ya kutia saini makubaliano rasmi ya ushirikiano katika nyanja za kijeshi…
Mamlaka za Romania zimeweka tahadhari muda mfupi kabla ya tukio ambapo droni ya Urusi iliripotiwa kuanguka katika mji wa Galati, mashariki mwa nchi hiyo, ambayo ni mwanachama wa NATO. Tukio…