UNGA
-

Mawaziri wa Urusi na Ujerumani Wakutana New York
Lavrov na Wadephul wakutana New York kujadili Ukraine na uhusiano wa nchi zao.
-

Kenya na Uganda Zatajwa Miongoni mwa Nchi Zilizosusia Hotuba ya Netanyahu
Kenya, Uganda, Somalia, Djibouti na Eritrea zatajwa katika orodha za wajumbe walioondoka wakati Netanyahu akihutubia Umoja wa Mataifa.
-

Sudan Yalalamikia Visa ya al-Burhan Kwenda UNGA
Mvutano umeibuka kati ya Sudan na Marekani kuhusu visa ya Abdel Fattah al-Burhan, ambaye amepangwa kuiwakilisha Sudan katika…
-

Trump: Mazungumzo na Iran Yanaendelea Licha ya Mvutano
Rais Donald Trump amesema Washington inaendelea kufanya mazungumzo na Iran na anaamini makubaliano yanaweza kufikiwa licha ya mvutano.
-

Pezeshkian UNGA: Iran Haitasalimu Amri, Yataka Diplomasia
Rais Masoud Pezeshkian amesema Iran haitasalimu amri katika vita na Marekani, lakini bado inaamini diplomasia inaweza kufungua njia…
