Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Ukraine: “Ukraine inapoteza vita taratibu”
Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Ukraine, Fedorov, ametoa tathmini ya kushtua akisema nchi hiyo inaelekea “kupoteza vita polepole” dhidi ya Urusi ikiwa hatua za dharura hazitachukuliwa ndani ya miezi michache…