Iran yaapa kulipigia debe suala la Palestina katika mazungumzo yanayoendelea
Shirika la Habari la Tasnim limeripoti kuwa Serikali ya Iran imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kuliweka suala la Palestina kama kipaumbele katika ajenda zake za kidiplomasia kwenye majukwaa ya kimataifa.…