Ni nani Deogratius John Ndejembi aliyeteuliwa kuchukua nafasi ya makamu wa rais wa Tanzania?
Deogratius John Ndejembi ni mwanasiasa wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Jimbo la Chamwino mkoani Dodoma tangu mwaka 2020. Alizaliwa tarehe 12 Julai 1983. Ana elimu…