Huu ndio utaratibu uliowekwa na Katiba ya Tanzania kujaza nafasi ya Makamu wa Rais ikiachwa wazi
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka utaratibu maalum wa kisheria kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa endapo nafasi ya Makamu wa Rais itakuwa wazi kutokana na sababu kama kifo au…