Mudavadi: Wafanyabiashara Wageni Wenye Vibali Watalindwa Kenya
Musalia Mudavadi amesema wafanyabiashara wa kigeni wenye vibali halali wanaweza kuendelea na biashara Kenya, huku akiwataka raia wa EAC kurekebisha nyaraka zao.
Habari Ndani ya Sayari.