Masharikiyakati
-

Gates: Netanyahu Alidai Mwaka 2009 Kwamba Iran Ingeanguka Kwa Shambulio la Kwanza.
Waziri wa zamani wa Ulinzi wa Marekani, Robert Gates, amesema kuwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alimweleza…
-

Iran Yasema Iko Tayari Kukabiliana na Uchokozi Wowote Mpya.
Wizara ya Ulinzi ya Iran imesema jeshi la nchi hiyo liko tayari kikamilifu kukabiliana na shambulio lolote jipya…
-

Mwanaharakati Fransis Awino amefungua kesi ili kupinga ongezeko la bei ya mafuta
Mwanaharakati Francis Awino amefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Nairobi kupinga ongezeko la hivi karibuni la bei ya…
-

Droni ya Marekani “MQ-9 Reaper” yadunguliwa mkoani Marib, Yemen
Yemen wadai kuitungua droni ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper katika eneo la Safer, mkoani Marib.Mpaka sasa, hakuna…
-

Marekani na Israeli Zipo Tayari kwa Uwezekano wa Mashambulizi Dhidi ya Iran.
Kulingana na duru za kijeshi kutoka nchini Israeli zilizokaririwa na shirika la habari la Kan News, majeshi ya…
-

Marekani Yaionya Iran: Trump Atishia Mashambulizi Makali Zaidi Huku “Muda Ukiyoyoma”.
Kulingana na ripoti kutoka mtandao wa Axios, Donald Trump ametoa onyo kali kwa taifa la Iran kupitia mazungumzo…