“Mtafunga Njia na Hamtakuwa na Nchi!” – Trump Atishia Kudhibiti Lango la Hormuz
Katika kile kinachoonekana kuwa ni kupanda kwa joto la kidiplomasia, Rais wa Marekani, Donald Trump, ametishia kuwa nchi yake iko tayari kuchukua udhibiti wa Lango la Hormuz (Strait of Hormuz)…