Ofisi ya Netanyahu yalaani tamko la Meya wa New York kuhusu kukamatwa kwake
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, imelaani vikali kauli ya Meya wa New York, Zohran Mamdani, kufuatia hatua yake ya kusema kuwa anatafakari uwezekano wa kumkamata kiongozi huyo…