Malaysia yasimama imara dhidi ya tisho la Marekani kuhusu msimamo wake kwa Israel
WASHINGTON, MAREKANI — Balozi wa Malaysia nchini Marekani ameitwa kwa dharura katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani (State Department) jijini Washington, kufuatia shinikizo kubwa kutoka kwa wabunge wa…