Amri ya Mabasi Mbezi Luis Yafikishwa Mahakama Kuu
Wakili binafsi amefungua shauri kupinga kikatiba masharti yanayolazimisha mabasi ya safari ndefu kutumia Magufuli Bus Terminal.
Habari Ndani ya Sayari.
Wakili binafsi amefungua shauri kupinga kikatiba masharti yanayolazimisha mabasi ya safari ndefu kutumia Magufuli Bus Terminal.
Tundu Lissu amefunga utetezi wake baada ya kusema maafisa watatu wakuu wa usalama hawakuwa tayari kutoa ushahidi aliokuwa ameomba.