KOREA KASKAZINI: Kwa nini Trump Anajihisi Ameshindwa?
Rais wa Korea Kusini, Lee Jae Myung, ametoa kauli nzito inayofichua hali ya sintofahamu inayomkabili Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusiana na mkwamo wa kidiplomasia kati ya Washington na Pyongyang.…