Sayyari: Vikosi vya Iran Vinadhibiti Kikamilifu Hormuz
Admiral Habibollah Sayyari amesema vikosi vya Iran vina udhibiti kamili wa Mlango Bahari wa Hormuz na maeneo ya bahari yanayouzunguka.
Habari Ndani ya Sayari.