MSIMAMO WA TEHRAN: “Sitisha Mapigano Kwanza, Mazungumzo Baadaye”
TEHRAN, IRANMsemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, ametoa msimamo mkali kuhusu mwelekeo wa mazungumzo ya kufikia makubaliano ya mwisho, akisisitiza kuwa mchakato huo unategemea utekelezaji…