Iran yakataa pendekezo jipya la Marekani la kusitisha mapigano kuhusu mgogoro wa Hormuz
Pendekezo hilo liliwasilishwa Tehran na Waziri Mkuu wa Iraq, Ali al-Zaidi, baada ya kukutana na Rais Donald Trump mjini Washington, lakini Iran ikasema halikutoa suluhisho kuhusu udhibiti wa Mlango-Bahari wa…