Mwanadiplomasia wa Zamani wa Marekani: “Wairani Hawawezi Kusalimishwa kwa Mabomu”
Mwanadiplomasia wa zamani wa Marekani, Ryan Crocker, ameikosoa kauli ya rais wa Marekani Donald Trump kuhusu “Iran kujisalimisha,” akiiita kauli hiyo kuwa ya kuchekesha. Crocker, ambaye aliwahi kuwa balozi wa…