Tumeishiwa Silaha, Iran Inashinda Vita,” Akiri Mbunge wa Marekani
WASHINGTON, MAREKANI – Katika kauli inayoibua mjadala mzito, Mwakilishi wa Bunge la Marekani (Congress), Raja Krishnamoorthi, ametoa onyo kali kuhusu kile alichokitaja kuwa ni Marekani kushindwa katika “vita vya kuchosha”…