YEMEN: Serikali inayoongozwa na Ansarullah (Houthi) yachukua udhibiti wa Mokha
Serikali ya Yemen inayoongozwa na Ansarullah imefanikiwa kuchukua udhibiti wa mji wa kimkakati wa bandari wa Mokha, katika operesheni iliyowawezesha kusimamia eneo la takriban kilomita za mraba 2,600 kando ya…