habari
-

Viongozi wa chama cha Trump “Republicans” wamtaka kumaliza vita vya Iran kabla ya uchaguzi
Washington – Rais wa Marekani, Donald Trump, anafahamu kikamilifu athari za kisiasa ambazo vita vimeleta kwake na kwa…
-

“Mwisho wa mgawanyiko”: Bennett na Lapid waungana rasmi kumbwaga Netanyahu
Waziri wakuu wa zamani wa Israel, Naftali Bennett na Yair Lapid, wametangaza kuunganisha rasmi vyama vyao na kuunda…
-

Wanaharakati wanaounga mkono Palestina “ulm 5” wafikishwa mahakamani Ujerumani kwa kesi ya kisiasa
Wanaharakati watano wanaounga mkono Palestina, wanaojulikana kama “Ulm 5,” wamefikishwa mahakamani nchini Ujerumani kufuatia tukio lililolenga eneo linalohusishwa…
-

Rais wa Ufaransa atafuta ushirikiano na Iran kuimarisha usalama Hormuz
A“Tunafanya kila tuwezalo kuhakikisha kwamba usafiri katika Mlango-Bahari wa Hormuz unarejea katika hali ya kawaida,” alisema kiongozi huyo.
-

Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, aonya kuhusu vikwazo kwa biashara zinazoshirikiana na mashirika ya ndege ya Iran.
Gazeti la WSJ linaripoti kuwa Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, ameonya kwamba biashara au watu binafsi…
-

Newsweek: Kiwango cha kutoridhika na Trump chafikia rekodi mpya
Kiwango cha kutoridhika na utendaji wa Donald Trump kimefikia kiwango cha juu zaidi kulingana na wastani wa matokeo…