habari
-

Meli ya gesi ya Qatar yaripotiwa kupita Mlango wa Hormuz kwa ruhusa ya Iran
Meli ya kubeba gesi asilia iliyoyeyushwa (LNG) inayomilikiwa na Qatar, iitwayo “Al‑Khariyat”, imetuma ishara katika maji ya Bahari…
-

‘Usaliti’ au Uhuru? tetesi UAE kujindoa katika umoja wa nchi za kiarabu ili kuikumbatia Israel
Baadhi ya vyanzo vya habari vinaripoti uwezekano wa Falme za Kiarabu (UAE) kujiondoa katika Umoja wa Nchi za…
-

Mwakilishi wa Bunge la Marekani asema Trump ni tishio kwa usalama wa nchi
Mwakilishi wa Chama cha Democratic katika Bunge la Marekani, Seth Moulton, amesema kuwa rais wa Marekani Donald Trump…
-

Putin: Kuendelea kwa vita kati ya Marekani na Iran hakuna faida kwa yeyote
Putin amesema kuwa kuendelea kwa vita kati ya Marekani na Iran hakutanufaisha upande wowote. Amesema pia kuwa mgogoro…
-

Ripoti ya New York Times kuhusu kutumwa kwa bidhaa muhimu na silaha za Urusi kwenda Iran kupitia Bahari ya Caspian.
New York Times imeripoti kuwa Bahari ya Caspian imekuwa njia muhimu ya kimkakati kwa Iran na Urusi katika…
-

Ehud Barak: Netanyahu Amekuwa Kikaragosi cha Trump
Waziri mkuu wa zamani wa Israel, Ehud Barak, amekosoa vikali mwenendo wa Waziri Mkuu wa sasa, Benjamin Netanyahu,…