habari
-

Trump Akabiliwa na Uamuzi Mgumu Kuhusu Iran Baada ya Ziara ya China, Mipango ya Kijeshi Yajadiliwa.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amerejea kutoka ziara yake nchini China huku akikabiliwa na maamuzi muhimu kuhusu hali…
-

Trump: Si lazima kuchukua ‘vumbi la nyuklia’ la Iran
Trump asema kuchukua nyenzo za nyuklia za Iran si jambo la lazima 🔹Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema…
-

Hofu ya Udukuzi: Ujumbe wa Marekani Watupa Zawadi za China Jalalani Kabla ya Kupanda Air Force One
BEIJING: Katika kile kinachoonekana kama hatua kali za kiusalama, wajumbe wa Marekani wameripotiwa kutupa zawadi zote walizopewa na…
-

Ushirikiano kati ya Iran na China wazidi kuimarika licha ya safari ya Trump
Ushirikiano kati ya Iran na China umeendelea kuimarika huku mataifa hayo mawili yakikabili mazingira ya migogoro katika eneo…
-

Mwanadiplomasia wa Zamani wa Marekani: “Wairani Hawawezi Kusalimishwa kwa Mabomu”
Mwanadiplomasia wa zamani wa Marekani, Ryan Crocker, ameikosoa kauli ya rais wa Marekani Donald Trump kuhusu “Iran kujisalimisha,”…
-

Mgogoro Mkubwa wa Umeme Cuba Baada ya Nchi Kuishiwa Dizeli na Mafuta Mazito ya Kuwasha (Oil).
Cuba imekumbwa na mgogoro mkubwa wa umeme baada ya serikali kutangaza kuwa nchi imeishiwa kabisa na dizeli pamoja…