habari
-

Jasusi wa Ufaransa ahukukumiwa miaka 20 jela nchini Mali kwa uhujumu uchumi
BAMAKO, MALI – Serikali ya mpito nchini Mali imetoa hukumu nzito ya kifungo cha miaka 20 jela dhidi…
-

Ushirikiano wa Kimkakati: Iran na Russia Zazindua Miradi ya Nyuklia ya Dola Bilioni 25 na Njia Mpya ya Biashara
MOSCOW, RUSSIA – Iran na Russia zimepiga hatua kubwa katika kuimarisha uhusiano wao wa kiuchumi na kiufundi, huku…
-

Putin akataa kuonana na Zelenskyy, aita mazungumzo hayo “kupoteza muda”
MOSCOW/KYIV — Jitihada za kidiplomasia za kusaka amani katika mzozo unaoendelea kati ya Urusi na Ukraine zimepata pigo…
-

“Urusi imechagua vita badala ya amani” Zelensky baada ya putin kukataa wito wake
Akijibu uamuzi huo wa Urusi, Rais Zelenskyy amesema kuwa kwa kukataa wito wa mazungumzo, Urusi imeonesha wazi msimamo…
-

Mvutano wa Kidiplomasia: Starmer Amjibu Vance Kuhusu Madai ya ‘Uingiliaji wa Kidemokrasia
LONDON, Uingereza – Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametoa onyo kali dhidi ya kile alichokitaja kama juhudi…
-

Uongozi wa Lebanon Unaoungwa Mkono na Marekani Waishambulia Iran kwa Kudai Israel Iondoke katika Ardhi ya Lebanon
Rais Joseph Aoun na Waziri Mkuu Nawaf Salam wametoa shutuma kali dhidi ya Iran kwa kudai kuwa Israel…