“NIKO MAFICHONI”: Balozi wa Marekani Asimulia Vishindo vya Milipuko Inavyotikisa Israel
TEL AVIV, ISRAELBalozi wa Marekani nchini Israel ametoa taswira ya hofu na taharuki inayotanda nchini humo kufuatia mashambulizi makali ya makombora yanayoendelea kurindima katika maeneo mbalimbali. Kupitia ujumbe wa dharura…