Iran Yajibu Mapigo kwa Kushambulia Kikosi cha Tano cha Wanamaji cha Marekani Bahrain kwa Droni
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limetoa taarifa likisema kuwa mapema alfajiri ya leo Marekani ilifanya mashambulizi katika baadhi ya maeneo ya kusini mwa Iran, ikiwemo…