Utawala wa Trump Wapanga Mikakati Mipya ya Kurejesha Usafiri wa Meli katika Lango la Hormuz
WASHINGTON D.C. – Utawala wa Rais Donald Trump umeanza mchakato wa kutafuta njia mbadala za kurejesha kikamilifu usafirishaji wa meli za mafuta kupitia Lango la Hormuz, hatua inayolenga kuimarisha biashara…