Lewandowski Aweka Hatma yake Barça Rehani, Fc Porto Waingia kwenye Mbio za Usajili.
Ripoti mpya kutoka Hispania zinaeleza kuwa mshambuliaji nyota Robert Lewandowski huenda akaondoka FC Barcelona katika dirisha lijalo la usajili wa majira ya kiangazi. Inaelezwa kuwa nyota huyo wa Poland amepoteza…